Recorded video training · TSh 49,500

Jenga Mfumo wa Kupata Wateja na Kuongeza Mauzo Kupitia Instagram, TikTok na WhatsApp Kwa Kutumia AI.

Jifunze kutumia ChatGPT au Claude kupanga marketing, kutengeneza content, kuvutia potential customers, kufuatilia inquiries na kuwabadilisha kuwa wanunuzi.

Positioning · Content · Conversion · RetentionPata Access ya Training · TSh 49,500

Recorded training. Jifunze kwa muda unaokufaa.

Unapost, una-boost, unajibu DM. Lakini kuna kinachoendelea baada ya hapo?

Unaweza kuwa unapost Instagram kila siku, unaweka bidhaa zako status, hata unatumia pesa ku-boost posts.

Mtu anaona bidhaa yako. Anaingia WhatsApp na kuuliza “Bei gani?” Unamjibu. Halafu mazungumzo yanaishia hapo.

Hili linaweza kutokea hata ukiwa na content nzuri. Bila mpangilio wa kumpeleka mtu kutoka kuona bidhaa hadi kufanya maamuzi ya kununua, kila post na kila inquiry inakuwa kazi ya kuanzia upya.

Je, una mfumo unaompeleka mtu kutoka kuona bidhaa yako mpaka kuwa mteja anayelipia?

Hilo ndilo swali tunalojibu kwenye training hii.

The mechanism

Mfumo wa hatua 4 unaounganisha marketing na sales

Badala ya kutumia AI kuandika captions za hapa na pale, jifunze kuipa kazi kwenye kila hatua ya customer journey.

01 · POSITIONING

Watu sahihi wakuelewe

Elewa unamuuzia nani, anahitaji nini na kwa nini achague biashara yako.

02 · CONTENT

Content yenye kazi

Panga posts za Instagram na TikTok zinazovutia na kujenga sababu ya kuulizia bidhaa zako.

03 · CONVERSION

Inquiries ziwe mazungumzo ya mauzo

Jifunze kujibu maswali, kushughulikia objections na kufanya follow-up WhatsApp.

04 · RETENTION

Usisahau aliyeshanunua

Panga mawasiliano ya baada ya mauzo ili kujenga uhusiano na kuwapa wateja sababu ya kurudi.

Inside the training

Utaona jinsi ya kuujenga mfumo huu kwa ChatGPT au Claude.

Hii ni recorded video training ambayo inaonyesha namna ya kufikiria, kupanga na kuunganisha kazi za marketing na sales kwa kutumia AI.

Utafuatilia jinsi ya kuanza na taarifa za biashara yako, kupanga customer journey, kuandaa content, na kuboresha mazungumzo ya mauzo WhatsApp.

Training hii ni kwa mfanyabiashara anayeuza bidhaa au huduma kupitia Instagram, TikTok au WhatsApp, na anataka marketing yake iwe na mpangilio.

Nataka Kujifunza Mfumo Huu
Why this approach

ChatGPT inaweza kuandika caption. Lakini caption pekee haiendeshi sales process.

Unaweza kupata ideas nyingi za content na bado ukawa huna jibu la swali: mtu akivutiwa na post, hatua inayofuata ni ipi?

Ndiyo maana training inafundisha jinsi ya kuunganisha positioning, content, conversion na retention. AI inakusaidia kupanga na kutekeleza kazi. Wewe bado unafanya maamuzi ya biashara na kuwasiliana na wateja.

TUMIA AI KUUZA ONLINE

Jifunze Kujenga AI-Powered Marketing System ya Biashara Yako

Access ya recorded training inayoonyesha mfumo wa kupata wateja kupitia social media na kuboresha mauzo kupitia WhatsApp kwa kutumia AI.

TSh 49,500

Malipo ya mara moja kwa access ya training.

Pata Access Sasa

Utaingia kwenye WhatsApp group yetu. Huko utapata maelekezo ya malipo, na ukishalipa unapewa access ya training.

Hakuna ahadi ya idadi maalum ya wateja au mauzo. Matokeo yanategemea biashara yako na utekelezaji.

Maswali ya kawaida

Hii ni live class?

Hapana. Ni recorded video training ambayo unaweza kuitazama kwa muda unaokufaa.

Nahitaji kujua kutumia AI kabla?

Training inaeleza jinsi ya kutumia ChatGPT au Claude kwenye marketing workflow. Uzoefu wa awali unaweza kusaidia, lakini lengo ni kukuonyesha namna ya kuanza na biashara yako.

Inafaa biashara gani?

Imelengwa biashara zinazotafuta au kuhudumia wateja kupitia Instagram, TikTok na WhatsApp, ikiwemo bidhaa na huduma.

Nalipaje?

Bonyeza “Pata Access Sasa” ujiunge na WhatsApp group yetu. Tutakutumia maelekezo ya malipo pale. Ukishalipa, unatumiwa access ya training.

Je, TSh 49,500 ni malipo ya kila mwezi?

Hapana. Bei iliyoonyeshwa hapa ni malipo ya mara moja kwa access ya recorded training.

Je, AI itaniuzia bila mimi kufanya kazi?

Hapana. AI inaweza kusaidia kupanga na kuandaa kazi za marketing na sales, lakini utekelezaji na huduma kwa wateja vinabaki kuwa jukumu la biashara yako.